Karibu katika blog ya UPS fashion wear



Sunday, August 7, 2011

Mali mpya zimewasili

Duka la UPS fashion wear lina furaha kubwa kuwatangazia wateja wote kuwa mali mpya zimewasili.
Jipatie mahitaji yako ya mavazi ya kinadada kupitia UPS Fashion Wear Kinondoni Mahakamani karibu na Chuo Kikuu cha Tumaini.

2 comments:

Erick said...

Hongera kwa duka zuri, keep it up tutakutembelea!

Pendo said...

asante kaka na karibu