Karibu katika blog ya UPS fashion wear



Friday, August 12, 2011

Jiachie na vazi la kiafrika

ups fashion ndani ya wanajiachie na vazi la kiafrika wanakuletea siku ya maonyesho ya kiafrika mwezi wa kumi katika chuo cha kampala najua itakuwa bomba mjiandae

Tuesday, August 9, 2011

Vivazi vya Ukweli

Tembelea UPS Fashion wear kuna vivazi vya ukweli viatu simple, viobama vya ukweli usikose.




































































































































Monday, August 8, 2011

Pochi za Kisasa za wanawake zimewasili

Pochi za Kisasa za wanawake zimewasili; heleni, mabangili, viatu, vikoti, kope, Shrug vya kila aina na kila rangi, mashati ya ofisini na sketi za ofisini, jinsi suruali, jinsi sketi na skin tight












Sunday, August 7, 2011

Mali mpya zimewasili

Duka la UPS fashion wear lina furaha kubwa kuwatangazia wateja wote kuwa mali mpya zimewasili.
Jipatie mahitaji yako ya mavazi ya kinadada kupitia UPS Fashion Wear Kinondoni Mahakamani karibu na Chuo Kikuu cha Tumaini.

Duka Jipya la mavazi ya kike lafunguliwa

Duka jipya la mavazi ya kina dada limefunguliwa maeneo ya Kinondoni Mahakamani, karibu na chuo kikuu cha Tumaini campus ya Kinondoni.
Ndani ya duka hilo kuna mavazi ya kisasa kutoka South Africa, Dubai na Uingereza .
Jipatie bangs, mikufu, heleni, nguo za aina zote za kike na viatu vya kike.